Mwanzo 32:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwuliza, Jina lako ni nani? Akasema, Yakobo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.” Biblia Habari Njema - BHND Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.” Neno: Bibilia Takatifu Yule mtu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Ni Yakobo.” Neno: Maandiko Matakatifu Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.” BIBLIA KISWAHILI Akamwuliza, Jina lako ni nani? Akasema, Yakobo. |
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Mungu akamwambia, Jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo, lakini Israeli litakuwa jina lako. Akamwita jina lake, Israeli.
Na mama yake yule mtoto akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Basi akaondoka, akamfuata.
Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.
Na Yakobo alikimbia mpaka Padan-Aramu, Na Israeli alitumika apate mke; Ili apate mke alichunga kondoo.