Akaondoka usiku ule akawatwaa wakeze wawili, na vijakazi wake wawili, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko cha Yaboki.
Mwanzo 32:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kuwavusha ng'ambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali yake yote. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. BIBLIA KISWAHILI Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. |
Akaondoka usiku ule akawatwaa wakeze wawili, na vijakazi wake wawili, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko cha Yaboki.