Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.
Mwanzo 31:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Labani akamwambia Yakobo, Tazama rundo hili la mawe haya utazame na nguzo niliyoisimika kati ya mimi na wewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Biblia Habari Njema - BHND Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Neno: Bibilia Takatifu Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi. Neno: Maandiko Matakatifu Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi. BIBLIA KISWAHILI Labani akamwambia Yakobo, Tazama rundo hili la mawe haya utazame na nguzo niliyoisimika kati ya mimi na wewe. |
Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.
Chungu hii na iwe shahidi, na nguzo hii na iwe shahidi, ya kuwa mimi sitapita chungu hii kuja kwako, wala wewe hutapita chungu hii na nguzo hii uje kwangu, kwa madhara.