Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Mwanzo 31:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haya! Na tufanye agano, mimi na wewe, liwe kwa ushahidi kati ya mimi na wewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, tufanye agano mimi nawe, liwe ushahidi kati yako nami.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, tufanye agano mimi nawe, liwe ushahidi kati yako nami.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, tufanye agano mimi nawe, liwe ushahidi kati yako nami.” Neno: Bibilia Takatifu Njoo sasa na tufanye agano, wewe na mimi, na liwe kama shahidi kati yetu.” Neno: Maandiko Matakatifu Njoo sasa na tufanye agano, wewe na mimi, na liwe kama shahidi kati yetu.” BIBLIA KISWAHILI Haya! Na tufanye agano, mimi na wewe, liwe kwa ushahidi kati ya mimi na wewe. |
Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Labani akasema, Chungu hii ni shahidi kati ya mimi na wewe hivi leo. Kwa hiyo likaitwa jina lake Galedi,
Chungu hii na iwe shahidi, na nguzo hii na iwe shahidi, ya kuwa mimi sitapita chungu hii kuja kwako, wala wewe hutapita chungu hii na nguzo hii uje kwangu, kwa madhara.
Basi sasa jiandikieni wimbo huu, uwafundishe wana wa Israeli; kawatie vinywani mwao, ili uwe shahidi kwangu wimbo huu, juu ya wana wa Israeli.
Tena itakuwa, wakiisha kujiliwa na mambo maovu mengi na mashaka, utashuhudia wimbo huu mbele yao kama shahidi, kwa maana hautasahauliwa katika vinywa vya uzao wao; kwani nayajua mawazo yao wayawazayo, hata sasa kabla sijawatia katika nchi niliyoapa.
Twaeni kitabu hiki cha torati, mkiweke kando ya sanduku la Agano la BWANA, Mungu wenu, ili kiwepo kama shahidi juu yako.
bali iwe ushahidi kati yetu nanyi, tena kati ya vizazi vyetu baada yetu, kwamba sisi tunamhudumia BWANA kwa njia ya sadaka zetu za kuteketezwa, na kwa dhabihu zetu, na kwa sadaka zetu za amani; ili kwamba wana wenu wasiwaambie wana wetu katika siku zijazo, Ninyi hamna fungu katika BWANA.