Akajitenga na Yakobo mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akachunga wanyama wa Labani waliosalia.
Mwanzo 31:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka. Biblia Habari Njema - BHND Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka. Neno: Bibilia Takatifu Siku ya tatu, Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia. Neno: Maandiko Matakatifu Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia. BIBLIA KISWAHILI Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia, |
Akajitenga na Yakobo mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akachunga wanyama wa Labani waliosalia.
Basi akakimbia yeye na yote aliyokuwa nayo; akaondoka akauvuka mto, na kuelekea kwenye nchi ya milima ya Gileadi.
akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.