BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Mwanzo 30:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” Biblia Habari Njema - BHND Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” Neno: Bibilia Takatifu Akapata mimba na akamzaa mwana; akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” Neno: Maandiko Matakatifu Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” BIBLIA KISWAHILI Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu. |
BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa ukoo wa Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenda milimani, na kuombolea ubikira wangu, mimi na wenzangu.