Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.
Mwanzo 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawauliza, Je! Mnamjua Labani, mwana wa Nahori? Wakasema, Tunamjua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Biblia Habari Njema - BHND Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Neno: Bibilia Takatifu Akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” Neno: Maandiko Matakatifu Aliwaambia, “Je, mnamjua Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” BIBLIA KISWAHILI Akawauliza, Je! Mnamjua Labani, mwana wa Nahori? Wakasema, Tunamjua. |
Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.
Na Rebeka alikuwa na kaka, jina lake Labani. Labani akatoka mbio kumwendea yule mtu kisimani.
Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Nahori, Mungu wa baba yao, ahukumu kati yetu. Yakobo akaapa kwa Hofu ya Isaka baba yake.