Wa kwanza akatoka, naye alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau.
Mwanzo 27:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na ngozi za wana-mbuzi akamvika mikononi, na katika ulaini wa shingo yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akamvika pia ngozi za wale wanambuzi mikononi na kwenye sehemu laini shingoni mwake. Biblia Habari Njema - BHND Akamvika pia ngozi za wale wanambuzi mikononi na kwenye sehemu laini shingoni mwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akamvika pia ngozi za wale wanambuzi mikononi na kwenye sehemu laini shingoni mwake. Neno: Bibilia Takatifu Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi. Neno: Maandiko Matakatifu Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi. BIBLIA KISWAHILI Na ngozi za wana-mbuzi akamvika mikononi, na katika ulaini wa shingo yake. |
Wa kwanza akatoka, naye alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau.
Kisha Rebeka akatwaa mavazi mazuri ya Esau mwanawe mkubwa, aliyokuwa nayo nyumbani, akamvika Yakobo mwanawe mdogo.
Wala hakumtambua, kwa maana mikono yake ilikuwa kama mikono ya Esau, ndugu yake, yenye malaika; basi akambariki.