nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Mwanzo 26:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Biblia Habari Njema - BHND Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Neno: Bibilia Takatifu Hawa walikuwa chanzo cha huzuni kwa Isaka na Rebeka. Neno: Maandiko Matakatifu Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaka na Rebeka. BIBLIA KISWAHILI Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao. |
nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.