Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Mwanzo 26:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akapanda kutoka hapo mpaka Beer-sheba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka huko, Isaka alikwenda Beer-sheba. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka huko, Isaka alikwenda Beer-sheba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka huko, Isaka alikwenda Beer-sheba. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka pale akaenda Beer-Sheba. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka pale akaenda Beer-Sheba. BIBLIA KISWAHILI Akapanda kutoka hapo mpaka Beer-sheba. |
Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Basi Abrahamu akawarudia vijana wake, wakaondoka, wakaenda zao pamoja mpaka Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba.
Israeli Akasafiri, pamoja na yote aliyokuwa nayo, akaja Beer-sheba, akamchinjia sadaka Mungu wa Isaka babaye.
bali msitafute Betheli, wala msiingie Gilgali, wala msipite kwenda Beer-sheba; kwani Gilgali hakika yake itakwenda utumwani, na Betheli itakuwa ubatili.
Ndipo wana wa Israeli walipotoka; na mkutano ukakutanika kama mtu mmoja, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na nchi ya Gileadi wakamkutanikia BWANA huko Mispa.