Mwanzo 26:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Biblia Habari Njema - BHND naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Neno: Bibilia Takatifu Isaka akawa tajiri, nayo mali yake ikaendelea kuongezeka hata akawa tajiri sana. Neno: Maandiko Matakatifu Isaka akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. BIBLIA KISWAHILI Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. |
na BWANA amembarikia sana bwana wangu, amekuwa mtu mkuu; amempa kondoo, na ng'ombe, na fedha, na dhahabu, na watumishi, na wajakazi, na ngamia, na punda.
Kwa hiyo mtu huyo akazidi mno, akawa na wanyama wengi, na vijakazi, na watumwa, na ngamia, na punda.