Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Mishma, na Duma, na Masa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mishma, Duma, Masa, Biblia Habari Njema - BHND Mishma, Duma, Masa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mishma, Duma, Masa, Neno: Bibilia Takatifu Mishma, Duma, Masa, Neno: Maandiko Matakatifu Mishma, Duma, Masa, BIBLIA KISWAHILI na Mishma, na Duma, na Masa, |
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Ufunuo juu ya Duma. Mtu ananililia toka Seiri, Ee mlinzi, habari gani za usiku? Ee mlinzi, habari gani za usiku?
Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.