Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye shambani kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Mwanzo 24:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yule mtumishi akamwambia Isaka mambo yote aliyoyatenda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yule mtumishi akamsimulia Isaka yote aliyokuwa ameyafanya. Biblia Habari Njema - BHND Yule mtumishi akamsimulia Isaka yote aliyokuwa ameyafanya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yule mtumishi akamsimulia Isaka yote aliyokuwa ameyafanya. Neno: Bibilia Takatifu Kisha yule mtumishi akamweleza Isaka mambo yote aliyoyatenda. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha yule mtumishi akamweleza Isaka mambo yote aliyoyatenda. BIBLIA KISWAHILI Yule mtumishi akamwambia Isaka mambo yote aliyoyatenda. |
Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye shambani kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.