Mwanzo 24:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Biblia Habari Njema - BHND Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Neno: Bibilia Takatifu “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’ Neno: Maandiko Matakatifu “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’ BIBLIA KISWAHILI Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami. |
Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?