Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Mwanzo 24:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Biblia Habari Njema - BHND Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Neno: Bibilia Takatifu Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti ya Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.” Neno: Maandiko Matakatifu Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.” BIBLIA KISWAHILI Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori. |
Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.
akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?
Kisha nikamwuliza, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia kishaufu puani mwake na vikuku mikononi mwake.