Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
Mwanzo 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Efroni akamjibu Abrahamu, akamwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Efroni akamjibu Abrahamu, “Bwana, nisikilize; Biblia Habari Njema - BHND Efroni akamjibu Abrahamu, “Bwana, nisikilize; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Efroni akamjibu Abrahamu, “Bwana, nisikilize; Neno: Bibilia Takatifu Efroni akamjibu Ibrahimu, Neno: Maandiko Matakatifu Efroni akamjibu Ibrahimu, BIBLIA KISWAHILI Efroni akamjibu Abrahamu, akamwambia, |
Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, ni nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.