Ndipo malaika wa BWANA akamwita kutoka mbinguni, akasema, Abrahamu! Abrahamu! Naye akasema, Mimi hapa.
Mwanzo 22:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Abrahamu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Biblia Habari Njema - BHND Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Neno: Bibilia Takatifu Kisha akanyoosha mkono wake na akachukua kisu ili amchinje mwanawe. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akanyoosha mkono wake na akachukua kisu ili amchinje mwanawe. BIBLIA KISWAHILI Abrahamu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe. |
Ndipo malaika wa BWANA akamwita kutoka mbinguni, akasema, Abrahamu! Abrahamu! Naye akasema, Mimi hapa.
Wakafika mahali pale alipoambiwa na Mungu, Abrahamu akajenga madhabahu huko, akaziweka tayari kuni, kisha akamfunga Isaka mwanawe, akamweka juu ya madhabahu, juu ya zile kuni.