Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; aliyekuwa akikaa karibu na mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.
Mwanzo 21:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Abrahamu akasema, Nitaapa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abrahamu akasema, “Naapa.” Biblia Habari Njema - BHND Abrahamu akasema, “Naapa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abrahamu akasema, “Naapa.” Neno: Bibilia Takatifu Ibrahimu akasema, “Ninaapa hivyo.” Neno: Maandiko Matakatifu Ibrahimu akasema, “Ninaapa hivyo.” BIBLIA KISWAHILI Abrahamu akasema, Nitaapa. |
Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; aliyekuwa akikaa karibu na mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.
Basi sasa uniapie kwa Mungu, ya kuwa hutanitenda hila, wala mwanangu, wala mjukuu wangu, lakini kwa kadiri ya fadhili niliyokutendea utanitendea mimi, na nchi hii ambayo umetembea ndani yake.
Kisha Abrahamu akamlaumu Abimeleki kwa sababu ya kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamemnyang'anya.
Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao; na kwao mwisho wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kwa kuyathibitisha.