Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wako wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwalete kwetu, ili tuweze kuwajua kimwili.
Mwanzo 19:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake, Biblia Habari Njema - BHND Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake, Neno: Bibilia Takatifu Lutu akatoka nje kuongea nao, akaufunga mlango nyuma yake. Neno: Maandiko Matakatifu Lutu akatoka nje kuonana nao, akaufunga mlango nyuma yake, BIBLIA KISWAHILI Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. |
Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wako wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwalete kwetu, ili tuweze kuwajua kimwili.
Naye mwenye nyumba akawatokea hapo nje, na kuwaambia, La, sivyo, ndugu zangu nawasihi msifanye uovu jinsi hii; kwa kuwa mtu huyu ameingia ndani ya nyumba yangu, msifanye upumbavu huu.