Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lolote, hadi uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Mwanzo 19:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Jua lilikuwa limechomoza juu ya nchi Lutu alipoingia Soari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Biblia Habari Njema - BHND Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Neno: Bibilia Takatifu Lutu alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati Lutu alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. BIBLIA KISWAHILI Jua lilikuwa limechomoza juu ya nchi Lutu alipoingia Soari. |
Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lolote, hadi uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Ndipo BWANA akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto kutoka mbinguni kwa BWANA.