Mwanzo 10:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Biblia Habari Njema - BHND Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama. |
Itwekeni bendera katika nchi, pigeni tarumbeta kati ya mataifa, yawekeni mataifa tayari juu yake; ziiteni juu yake falme za Ararati, na Mini, na Ashkenazi; agizeni jemadari juu yake; wapandisheni farasi, kama tunutu.
Watu wa nyumba ya Togarma walifanya biashara, kwa farasi, naam, farasi wa vita, na nyumbu, wapate vitu vyako vilivyouzwa.
Gomeri, na vikosi vyake vyote; nyumba ya Togarma, pande za mwisho za kaskazini, na vikosi vyake vyote; naam, watu wengi pamoja nawe.