Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Mwanzo 10:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji mkubwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala. Biblia Habari Njema - BHND Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala. Neno: Bibilia Takatifu na Reseni, mji ulio kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. Neno: Maandiko Matakatifu na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. BIBLIA KISWAHILI na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji mkubwa. |
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Mesheki yuko huko, na Tubali, na watu wake umati wote; makaburi yake yamzunguka; wote pia hawakutahiriwa, wameuawa kwa upanga; maana walitisha katika nchi ya walio hai.