Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka;
Mwanzo 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na ingae angani na kuiangazia dunia.” Ikawa hivyo. Biblia Habari Njema - BHND na ingae angani na kuiangazia dunia.” Ikawa hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na ing'ae angani na kuiangazia dunia.” Ikawa hivyo. Neno: Bibilia Takatifu nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo. BIBLIA KISWAHILI tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. |
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka;
Mungu akaumba mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Mungu akaliumba anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.