Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Mika 5:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nami nitayang'oa maashera yenu, yasiwe kati yako; nami nitaiangamiza miji yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nitazing'oa sanamu za Ashera kutoka kwenu, na kuiangamiza miji yenu. Biblia Habari Njema - BHND Nitazing'oa sanamu za Ashera kutoka kwenu, na kuiangamiza miji yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hasira na ghadhabu yangu, nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.” Neno: Bibilia Takatifu Nitang’oa nguzo za Ashera kati yenu, na kubomoa miji yenu. Neno: Maandiko Matakatifu Nitang’oa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu. BIBLIA KISWAHILI Nami nitayang'oa maashera yenu, yasiwe kati yako; nami nitaiangamiza miji yako. |
Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.
Basi, uovu wa Yakobo utatakaswa hivyo, na hayo ndiyo matunda yote ya kumwondolea dhambi yake; afanyapo mawe yote ya madhabahu kuwa kama mawe ya chokaa yaliyopondwa, hata maashera na sanamu za jua havitasimama tena.
Bali, kama hawataki kusikia, kung'oa nitaling'oa taifa lile, na kuliangamiza kabisa, asema BWANA.
Bwana ameyameza makao yote ya Yakobo, Wala hakuona huruma; Ameziangusha ngome za binti Yuda Katika ghadhabu yake; Amezibomoa hata nchi Ameunajisi ufalme na wakuu wake.
Tena BWANA ametoa amri katika habari zako, ya kwamba asiwepo tena mtu awaye yote mwenye jina lako; toka nyumba ya miungu yako nitakatilia mbali sanamu ya kuchora, na sanamu ya kuyeyusha; nitakufanyia kaburi lako; kwa maana u mbovu.