Mfalme akasema, Nina nini na ninyi, enyi wana wa Seruya? Kwa sababu yeye analaani, na kwa sababu BWANA amemwambia, Mlaani Daudi, basi, ni nani atakayesema, Mbona umetenda haya?
Mhubiri 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana. Biblia Habari Njema - BHND Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana. Neno: Bibilia Takatifu Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, unaweza kumsikia mtumishi wako akikulaani: Neno: Maandiko Matakatifu Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, waweza kumsikia mtumishi wako akikulaani: BIBLIA KISWAHILI Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana. |
Mfalme akasema, Nina nini na ninyi, enyi wana wa Seruya? Kwa sababu yeye analaani, na kwa sababu BWANA amemwambia, Mlaani Daudi, basi, ni nani atakayesema, Mbona umetenda haya?
Akamwambia mfalme, Bwana wangu asinihesabie uovu, wala usiyakumbuke yale niliyoyatenda mimi mtumishi wako kwa upotovu siku ile alipotoka Yerusalemu bwana wangu mfalme, hata mfalme ayatie moyoni mwake.
Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.
hao wamfanyao mtu kuwa amekosa katika neno, na kumtegea mtego yeye aonyaye langoni, na kumgeuza mwenye haki kwa kitu kisichofaa.
Lakini wengine wasiofaa kitu wakasema, Huyu je! Atatuokoaje? Nao wakamdharau, wasimletee zawadi.