Mhubiri 7:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Biblia Habari Njema - BHND Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Neno: Bibilia Takatifu Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo kuliko watawala kumi katika mji. Neno: Maandiko Matakatifu Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji. BIBLIA KISWAHILI Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini. |
Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo.
Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo.