Mhubiri 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hekima ni njema kama urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionalo jua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai. Biblia Habari Njema - BHND Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai. Neno: Bibilia Takatifu Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua. Neno: Maandiko Matakatifu Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua. BIBLIA KISWAHILI Hekima ni njema kama urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionalo jua. |
Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
Usiseme, Kwa nini siku za kale zilikuwa ni bora kuliko siku hizi? Maana si kwa hekima unauliza hili.