Mhubiri 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC tena, haikuliona jua wala kulifahamu; basi, hii imepata kustarehe kuliko yule; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati. Biblia Habari Njema - BHND Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati. Neno: Bibilia Takatifu Ingawa hakuwahi kuliona jua wala kujua kitu chochote, yeye ana pumziko kuliko mtu huyo: Neno: Maandiko Matakatifu Ingawa hakuwahi kuliona jua wala kujua kitu chochote, yeye ana pumziko zaidi kuliko mtu huyo, BIBLIA KISWAHILI tena, haikuliona jua wala kulifahamu; basi, hii imepata kustarehe kuliko yule; |
naam, zaidi ya hao wote nikamwita heri yeye asiyekuwako bado, ambaye hakuyaona mabaya yanayotendeka chini ya jua.
naam, ajapoishi miaka elfu mara mbili, asijiburudishe kwa mema; je! Wote hawaendi mahali pamoja?