Mhubiri 6:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC yaani, hiyo huja katika ubatili, na huenda gizani, nalo jina lake limefunikwa giza; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Biblia Habari Njema - BHND Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Neno: Bibilia Takatifu Kuzaliwa kwake hakuna maana, huondokea gizani na gizani jina lake hufunikwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kuzaliwa kwake hakuna maana, huondokea gizani na gizani jina lake hufunikwa. BIBLIA KISWAHILI yaani, hiyo huja katika ubatili, na huenda gizani, nalo jina lake limefunikwa giza; |
Mtu akizaa watoto mia moja, akaishi miaka mingi, hata siku za maisha yake zikiwa nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa, zaidi ya hayo, amekosa maziko; mimi nasema, Heri mimba iliyoharibika kuliko huyo;