Kuna balaa mbaya sana niliyoiona chini ya jua, nayo ni hii, mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima;
Mhubiri 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kuna baa nililoliona mimi chini ya jua, nalo linawalemea wanadamu kwa uzito; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimeona jambo moja ovu hapa duniani, linalowakandamiza watu: Biblia Habari Njema - BHND Nimeona jambo moja ovu hapa duniani, linalowakandamiza watu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimeona jambo moja ovu hapa duniani, linalowakandamiza watu: Neno: Bibilia Takatifu Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu: Neno: Maandiko Matakatifu Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu: BIBLIA KISWAHILI Kuna baa nililoliona mimi chini ya jua, nalo linawalemea wanadamu kwa uzito; |
Kuna balaa mbaya sana niliyoiona chini ya jua, nayo ni hii, mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima;
mtu aliyepewa na Mungu mali, ukwasi, na heshima, hata asipungukiwe na kitu chochote kwa nafsi yake, katika yote anayoyatamani lakini Mungu hamwezeshi kula katika hizo; bali mgeni hula. Hayo ndiyo ubatili hasa, nayo ni ugonjwa mbaya.