Mhubiri 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mpumbavu huikunja mikono yake, Naye hula chakula chake mwenyewe; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mpumbavu hafanyi kazi na mwisho hujiua kwa njaa. Biblia Habari Njema - BHND Mpumbavu hafanyi kazi na mwisho hujiua kwa njaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mpumbavu hafanyi kazi na mwisho hujiua kwa njaa. Neno: Bibilia Takatifu Mpumbavu hukunja mikono yake na kujiangamiza mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Mpumbavu hukunja mikono yake na kujiangamiza mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Mpumbavu huikunja mikono yake, Naye hula chakula chake mwenyewe; |
Maneno ya kinywa chake mwenye hekima yana neema; Bali midomo ya mpumbavu itammeza nafsi yake.
Hupokonya upande wa mkono wa kulia, nao huona njaa! Hula upande wa mkono wa kushoto, wala hawashibi! Watakula kila mtu nyama ya mkono wake mwenyewe.