Mhubiri 11:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanga wafaa, na kuliona jua kwapendeza macho. Biblia Habari Njema - BHND Mwanga wafaa, na kuliona jua kwapendeza macho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanga wafaa, na kuliona jua kwapendeza macho. Neno: Bibilia Takatifu Nuru ni tamu, tena inafurahisha macho kuona jua. Neno: Maandiko Matakatifu Nuru ni tamu, tena inafurahisha macho kuona jua. BIBLIA KISWAHILI Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua. |
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu.
Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.