Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.
Mhubiri 10:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Biblia Habari Njema - BHND Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Neno: Bibilia Takatifu Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. Neno: Maandiko Matakatifu Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. BIBLIA KISWAHILI Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo. |
Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.