Mhubiri 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Biblia Habari Njema - BHND Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Neno: Bibilia Takatifu Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. BIBLIA KISWAHILI Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa. |
na aletewe mavazi ya kifalme ambayo mfalme amezoea kuyavaa, na farasi ambaye mfalme humpanda mwenyewe, ambaye ametiwa taji la kifalme kichwani;