Mhubiri 10:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa ulegevu wa mikono nyumba huvuja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja. Biblia Habari Njema - BHND Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja. Neno: Bibilia Takatifu Kama mtu ni mvivu, paa la nyumba huinama; kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja. BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa ulegevu wa mikono nyumba huvuja. |
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Nasi twataka sana kila mmoja wenu aidhihirishe bidii ile ile, kwa utimilifu wa matumaini hata mwisho;