Mhubiri 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nyoka akiuma kabla hajachezeshwa, Basi hakuna faida ya mchezeshaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena. Biblia Habari Njema - BHND Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena. Neno: Bibilia Takatifu Nyoka akiuma kabla ya kuchezeshwa, mchezeshaji hatahitajika tena. Neno: Maandiko Matakatifu Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena. BIBLIA KISWAHILI Nyoka akiuma kabla hajachezeshwa, Basi hakuna faida ya mchezeshaji. |
Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.
Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema BWANA.
Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfululizo wa maumbile, nao huwashwa moto na Jehanamu.