Methali 9:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Biblia Habari Njema - BHND “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Neno: Bibilia Takatifu Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani! Neno: Maandiko Matakatifu Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” BIBLIA KISWAHILI Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, |