Methali 8:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Biblia Habari Njema - BHND Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Neno: Bibilia Takatifu kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, Neno: Maandiko Matakatifu kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, BIBLIA KISWAHILI Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa. |
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;