Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Methali 8:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakati havijakuwapo vilindi nilizaliwa, Wakati hazijakuwapo chemchemi zilizojaa maji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji. Biblia Habari Njema - BHND Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilizaliwa kabla ya vilindi vya bahari, kabla ya chemchemi zibubujikazo maji. Neno: Bibilia Takatifu Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; Neno: Maandiko Matakatifu Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; BIBLIA KISWAHILI Wakati havijakuwapo vilindi nilizaliwa, Wakati hazijakuwapo chemchemi zilizojaa maji. |
Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonesha, ili ninyi mpate kustaajabu.
Kwa maana ni kwa malaika yeyote yupi Mungu, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?
Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.