Methali 8:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote. Biblia Habari Njema - BHND “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote. Neno: Bibilia Takatifu “Mwenyezi Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani; Neno: Maandiko Matakatifu “bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani; BIBLIA KISWAHILI BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale. |
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.
Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye asili yake imekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu.