Methali 8:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Biblia Habari Njema - BHND Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Neno: Bibilia Takatifu kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. Neno: Maandiko Matakatifu kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. BIBLIA KISWAHILI Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. |
Naye ameyathibitisha maneno yake, aliyoyanena juu yetu, na juu ya waamuzi wetu waliotuamua, kwa kumletea mambo maovu makuu; maana chini ya mbingu zote halikutendeka jambo kama hili, lilivyotendeka juu ya Yerusalemu.