Methali 7:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wapate kukulinda na malaya, Na mwasherati akubembelezaye kwa maneno yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Biblia Habari Njema - BHND Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Neno: Bibilia Takatifu watakuepusha na mwanamke mzinzi, kutokana na mwanamke mpotovu na maneno yake ya kubembeleza. Neno: Maandiko Matakatifu watakuepusha na mwanamke mzinzi, kutokana na mwanamke mpotovu na maneno yake ya kubembeleza. BIBLIA KISWAHILI Wapate kukulinda na malaya, Na mwasherati akubembelezaye kwa maneno yake. |