Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea; Umtafute mtumishi wako; Kwa maana sikuyasahau maagizo yako.
Methali 7:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Biblia Habari Njema - BHND Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Neno: Bibilia Takatifu Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. Neno: Maandiko Matakatifu Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. BIBLIA KISWAHILI Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. |
Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea; Umtafute mtumishi wako; Kwa maana sikuyasahau maagizo yako.
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.