Ikawa walipomimina magunia yao, kumbe! Bahasha ya fedha ya kila mtu imo katika gunia lake. Nao walipoziona bahasha za fedha zao, wao na baba yao waliogopa.
Methali 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Biblia Habari Njema - BHND Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Neno: Bibilia Takatifu Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwa nyumbani karibuni.” Neno: Maandiko Matakatifu Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwepo nyumbani karibuni.” BIBLIA KISWAHILI Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu. |
Ikawa walipomimina magunia yao, kumbe! Bahasha ya fedha ya kila mtu imo katika gunia lake. Nao walipoziona bahasha za fedha zao, wao na baba yao waliogopa.
Angalia, najenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wangu, ili kumfanyia wakfu, ya kufukizia mbele zake fukizo la manukato, na ya mkate wa wonyesho wa daima, na ya sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni, na za siku za sabato, na za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa za BWANA, Mungu wetu. Hili ni agizo la milele kwa Israeli.
na mwanamume akalala naye kwa uasherati, na jambo hilo likafichika kwa mumewe, likawa jambo lisilojulikana, na huyo mwanamke akawa najisi, wala hapana shahidi aliyeshuhudia juu yake, wala hakufumaniwa;