Methali 7:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haya, na tushibe upendo hadi asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Biblia Habari Njema - BHND Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Neno: Bibilia Takatifu Njoo, tuzame katika mapenzi hadi asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! Neno: Maandiko Matakatifu Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! BIBLIA KISWAHILI Haya, na tushibe upendo hadi asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba. |
na mwanamume akalala naye kwa uasherati, na jambo hilo likafichika kwa mumewe, likawa jambo lisilojulikana, na huyo mwanamke akawa najisi, wala hapana shahidi aliyeshuhudia juu yake, wala hakufumaniwa;