Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Methali 7:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nimetia kitanda changu manukato, Manemane na udi na mdalasini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimekitia manukato, manemane, udi na mdalasini. Biblia Habari Njema - BHND Nimekitia manukato, manemane, udi na mdalasini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimekitia manukato, manemane, udi na mdalasini. Neno: Bibilia Takatifu Nimetia manukato kitanda changu kwa manemane, udi na mdalasini. Neno: Maandiko Matakatifu Nimetia manukato kitanda changu kwa manemane, udi na mdalasini. BIBLIA KISWAHILI Nimetia kitanda changu manukato, Manemane na udi na mdalasini. |
Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Katika mkono wako wa kulia amesimama malkia Akiwa amevaa dhahabu safi ya Ofiri.
Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na miwa shekeli mia mbili na hamsini,
Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani, Mfano wake ni nguzo za moshi; Afukizwa manemane na ubani, Na mavumbi ya manukato yote ya mchuuzi?
Wedani, na Yavani, walifanya biashara toka Uzali kwa vitu vyako; chuma kilichofuliwa, na mdalasini, na mchai, vilikuwa katika bidhaa yako.
Akaenda Nikodemo naye, (yule aliyemwendea usiku hapo kwanza), akaleta mchanganyiko wa manemane na uudi, yapata ratili mia.