BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
Methali 6:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo. Biblia Habari Njema - BHND lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo. Neno: Bibilia Takatifu Lakini akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. Neno: Maandiko Matakatifu Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. BIBLIA KISWAHILI Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake. |
BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
naye atamrudishia yule mwana-kondoo mara nne, kwa sababu ametenda neno hili, na kwa sababu hakuwa na huruma.
mwenye shimo atalipa; atampa huyo mwenye mnyama fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa ni wake.
Naye alipokosa cha kulipa, bwana wake akaamuru auzwe, yeye na mkewe na watoto wake, na vitu vyote alivyokuwa navyo, ikalipwe ile deni.
Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.