Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Methali 6:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Biblia Habari Njema - BHND Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Neno: Bibilia Takatifu Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? Neno: Maandiko Matakatifu Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? |
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivunia matendo makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana.