Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wamenijia, Nao watoao jeuri kama pumzi.
Methali 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu. Biblia Habari Njema - BHND shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu. Neno: Bibilia Takatifu shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. Neno: Maandiko Matakatifu shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. BIBLIA KISWAHILI Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu. |
Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wamenijia, Nao watoao jeuri kama pumzi.
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wizi, ushuhuda wa uongo, na matukano;
Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa uongo juu ya Yesu, wapate kumwua;
Wakasimamisha mashahidi wa uongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati;