Methali 5:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Miguu yake inateremkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Biblia Habari Njema - BHND Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Neno: Bibilia Takatifu Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. Neno: Maandiko Matakatifu Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. BIBLIA KISWAHILI Miguu yake inateremkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; |
Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.
Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa wanyama wa nchi.